Cheketua Akkoorde by Alikiba & Barnaba(C, G, D)

Today I am gving you Cheketua Chords by Alikiba & Barnaba. Cheketua Chords are very easy to play on guitar. Cheketua Akkoorde by alikiba & Barnaba are C, G, D. No need of capo to play Cheketua Akkoorde by Alikiba & Barnaba.

Cheketua Akkoorde by alikiba & Barnaba - Cheketua chords

Song: Cheketua Akkoorde by Alikiba & Barnaba

Cheketua Chords are C, G, D

(G) Nikupe (C) habari, tangu nirudi (G) safari
Nikakupata (D) kimwali, tumeshinda (G) dhohari
Nitazungumza (C) naye bibi na babu (G) wataridhia
Siku ya ndoa (D) shere wigi
Mie kanzu (G) na jambia

Tumeshinda (C) vizingiti wambea (G) hatutishi
Maneno (D) yenu uchafu
Yeye shabuni (G) mie jiki
Mtasubiri (C) mazishi, sisi bado (D) tuna(G)ishi
Utamu wa (D) wali nazi
(Em) Kungu ule na (G) parachichi

Ayii mwali (C) wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu (G) yangu (Cheketua)
Mbeba siri (D) zangu (Cheketua)
Mwenye tamu (G) yangu (Cheketua)

Counting Stars Chords by One Republic

Ayii mama (C) uyoo (Cheketua)
Tumetoka far (G) away (Cheketua)
Waacha (D) waongee (Cheketua)
Maneno yao (G) usijari (Cheketua)

(Alikiba)
(G) Nikupe (C) ee nikupee (G) midola
Arusha (D) na Manyara ama nikupe (G) dawa
Niku(C)pe farahi, Niku(G)pe dinari
Niku(D)pe mahali, samaki (G) waishi mbalii
Roho (C) ziliowapinga waambie (G) ugoniree,
Ndanga (D) mkyasi wangu woyi, woyi, (G) woyi, woyi

(G) Tumeruka (C) vizingiti wambea hamtuti(G)shi
Utamu (D) wa wali nazi, utafune na (G) ndizi
Nahisi ma(C)maa asali yan(G)gu
Aje mama (D) mkwe (Cheketua) akupe na (G) zawadi

Your Power Chords by Billie Eilish

Ayii mwali (C) wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu (G) yangu (Cheketua)
Mbeba siri (D) zangu (Cheketua)
Mwenye tamu (G) yangu (Cheketua)

Ayii mama (C) uyoo (Cheketua)
Tumetoka far (G) away (Cheketua)
Waacha (D) waongee (Cheketua)
Maneno yao (G) usijari (Cheketua)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *