Leave Me Alone Lyrics Harmonize Ft. Abigail Chams

Leave Me Alone Lyrics Harmonize Ft. Abigail Chams

Learn and sing Leave Me Alone Lyrics Harmonize Ft. Abigail Chams. Leave Me Alone Lyrics Harmonize Ft. Abigail Chams is given below:

Leave Me Alone Lyrics Harmonize Ft. Abigail Chams

Leave Me Alone Lyrics Harmonize Ft. Abigail Chams

I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatosha
Yeah i don’t need nobody
I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatosha
I don’t need nobody
I don’t need nobody

Tulio ishi Kwa ndugu
Ndio tunazijua hustle
Kula na mulala manyanyaso
Fungasha urudi kijijini best naso
Mi akinipenda mungu inatosha

Mwengine atakusave kwenye shida
Utamdhani Rafiki wa faida
Kumne moyoni ana kuchukulia barida
Simu ukifanikiwa zinaanza shida

Yes now am going to another level
Sita tumia ndumba wala nguvu za devil
Simuitaji mwijaku h, na baba levo
Mi akinipenda mungu inatosha
Yes mi napenda marafiki
Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
Sio wanao kuja deal zikitiki
Sipendi unafiki akinipenda mungu
Inatosha no no no

Akinipenda mungu inatoshaa!
Yeah i don’t need nobody
i don’t need nobody hei yee
Akinipenda mungu inatoshaa!
I don’t need nobody
I don’t need nobody

Celestial Lyrics By Ed Sheeran

Eti kisa unani follow
Unanipangia cha kuposti
Me simu follow shobo zako zinaku cost
We ni unfollow usiniletee mikosi
Akinipenda mungu inatosha
Ukiniona kutea nipo
Ndani suna tatizo
Na majirani ila sitaki wanijue kiundani

Akinipenda mungu inatosha
Yeah i swear to my dead body
Simuamini Rafiki
Anae nilapia Kodi
Pengine anafurahi mi kumpigia hodi
Akinipenda mungu inatosha

Yes mi napenda marafiki
Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
Sio wanao kuja deal zikitiki
Sipendi unafiki akinipenda mungu
Inatosha no no no

Akinipenda mungu inatoshaa!
Yeah i don’t need nobody
i don’t need nobody hei yee
Akinipenda mungu inatoshaa!
I don’t need nobody
I don’t need nobody
Akinipenda mungu inatoshaa!
Yeah i don’t need nobody
i don’t need nobody hei yee
Akinipenda mungu inatoshaa!
I don’t need nobody
I don’t need nobody