Today I am giving you Naanzaje Chords By Diamond Platnumz. Naanzaje Chords By Diamond Platnumz are very easy to play on guitar. Naanzaje Guitar Chords are Em, C, G, D. Just put the capo on the 3rd fret to Naanzaje Guitar Chords. Let’s start playing naanzaje Akkorde.


Naanzaje Chords By Diamond Platnumz
(Em)Aliumba ardhi akaumba mbin(C)gu
Akaumba mbaram(G)wezi
Kaumba nafsi, Kaumba (D)wivu
Akayaumba na (Em)mapenzi
Na kukuacha (C)sidhan
Siwezi jari(G)bu
Maana penzi kwa (D)mzani
Umenizidi mahabi(Em)bu
Shika vyema usu(C)kani
Twende tarati(G)bu
Baada Ya tuta baby (D)Koleza gia
Yani tam tam (Em)kama pipi
Nakuita sweet, Ah (C)lote lote
Fundi kwenye (G)kwichikwichi
Shape vipi, (D)Kama lote
Vicheche (Em)nisha delete
Sitaki cheat, Wa (C)toke toke
Kwenye moyo nime(G)kupa seat
We ndo (D)dereva, sio wa kukuacha oh
(Em)Naanzaje, (C)Naanzaaje, (G)Naanzaje
Mwenzako..(D) kukuacha siwe(Em)zi
Naan-zaje, (C)Naanzaaje, (G)Naanzaje
Kukuacha (D)oh, kabisa siwe(Em)zi
(Em)Hadithi kuja hadithi (C)njoo
Utamu kole(G)aaa
Mzenzenu huba liko kwa (D)roho
Limenino(Em)gea
Vishenshuda poleni (C)wooo
Mnalo wambe(G)ya
Mtaja kuumwa makwasha (D)koo
Kwa kutuonge(Em)lea
Tena me kwake ndo (C)daktari
Nampa tiba (G)halali
Wanaitaga (D)sukari
Alamba (Em)haam
Na jana nilifunga (C)nkasali
Nikamuomba (G)jalali
Tuepushe (D)madhohari Ya wana(Em)damu
Anyone Chords By Justin Bieber
Ah ah Yani tam tam (Em)kama pipi
Nakuita sweet, Ah (C)lote lote
Fundi kwenye (G)kwichikwichi
Shape vipi, (D)Kama lote
Vicheche (Em)nisha delete
Sitaki cheat, Wa (C)toke toke
Kwenye moyo nime(G)kupa seat
We ndo (D)dereva, sio wa kukuacha oh
(Em)Naanzaje, (C)Naanzaaje, (G)Naanzaje
Mwenzako..(D) kukuacha siwe(Em)zi
Naanzaje, (C)Naanzaaje, (G)Naanzaje
Kukuacha (D)oh, kabisa siwe(Em)zi
Counting Stars Chords By OneRepublic
I hope the naanzaje akkorde by diamond platnumz